"Bandika" "Muundo huru" "Kompyuta ya mezani" "Hamishia programu kwenye skrini ya nje" "Futa" "Kompyuta ya Mezani" "Hakuna vipengee vya hivi karibuni" "Mipangilio ya matumizi ya programu" "Ondoa zote" "Programu za hivi karibuni" "%1$s, %2$s" "< dak 1" "Umebakisha %1$s leo" "Mapendekezo ya programu" "Programu zako zinazopendekezwa" "Pata mapendekezo ya programu kwenye sehemu ya chini ya Skrini yako ya kwanza" "Pata mapendekezo ya programu katika safu ya vipendwa ya Skrini yako ya kwanza" "Fikia kwa urahisi programu unazotumia sana moja kwa moja kwenye Skrini ya kwanza. Mapendekezo yatabadilika kulingana na ratiba zako. Programu zilizo kwenye sehemu ya chini zitahamishiwa kwenye Skrini yako ya kwanza." "Fikia kwa urahisi programu unazotumia sana moja kwa moja kwenye Skrini ya kwanza. Mapendekezo yatabadilika kulingana na utumiaji wako. Programu zilizo katika safu ya vipendwa zitahamishiwa kwenye Skrini yako ya kwanza." "Pata mapendekezo ya programu" "Hapana" "Mipangilio" "Programu zinazotumiwa zaidi huonekana hapa na hubadilika kulingana na ratiba" "Buruta programu kutoka kwenye safu ya chini ili upate mapendekezo ya programu" "Mapendekezo ya programu yamewekwa kwenye nafasi isiyo na kitu" "Mapendekezo ya programu yamewashwa" "Umezima mapendekezo ya programu" "Programu iliyotabiriwa: %1$s" "Mafunzo ya Usogezaji kwa Kutumia Miguso" "Zungusha kifaa chako" "Tafadhali zungusha kifaa chako ili ukamilishe mafunzo ya usogezaji kwa kutumia miguso" "Hakikisha unatelezesha kidole kutoka ukingo wa kulia au kushoto kabisa" "Hakikisha unatelezesha kidole kutoka ukingo wa kulia au kushoto hadi katikati ya skrini na uachilie" "Umejifunza jinsi ya kutelezesha kidole kuanzia kulia ili kurudi nyuma. Sasa jifunze jinsi ya kubadilisha programu." "Umekamilisha mafunzo ya miguso ya kurudi nyuma. Hatua inayofuata, fahamu jinsi ya kubadilisha programu." "Umekamilisha mafunzo ya miguso ya kurudi nyuma" "Hakikisha hutelezeshi kidole karibu sana na sehemu ya chini ya skrini" "Kubadilisha hisi ya ishara ya nyuma, nenda kwenye Mipangilio" "Telezesha kidole ili urudi nyuma" "Ili urudi kwenye skrini iliyotangulia, telezesha kidole kuanzia ukingo wa kushoto au wa kulia kuelekea katikati ya skrini." "Rudi nyuma" "Telezesha kidole kutoka ukingo wa kushoto au kulia hadi katikati ya skrini" "Hakikisha unatelezesha kidole juu kuanzia ukingo wa chini wa skrini" "Hakikisha husitishi kabla ya kuachilia" "Hakikisha unatelezesha kidole juu" "Umekamilisha mguso wa kwenda kwenye skrini ya kwanza. Inayofuata, fahamu jinsi ya kurudi nyuma." "Umekamilisha mguso wa kwenda kwenye skrini ya kwanza" "Telezesha kidole ili uende kwenye skrini ya kwanza" "Telezesha kidole juu kuanzia chini ya skrini yako. Ishara hii kila wakati hukupeleka kwenye Skrini ya kwanza." "Nenda kwenye ukurasa wa mwanzo" "Telezesha kidole juu kutoka sehemu ya chini ya skrini yako" "Kazi nzuri!" "Hakikisha unatelezesha kidole juu kuanzia ukingo wa chini wa skrini" "Jaribu kushikilia dirisha kwa muda mrefu kabla ya kuachilia" "Hakikisha unatelezesha kidole juu, kisha usitishe" "Umejifunza jinsi ya kutumia ishara. Ili uzime ishara, nenda kwenye Mipangilio." "Umekamilisha mguso wa kubadilisha programu" "Telezesha kidole ili ubadilishe programu" "Ili ubadili kati ya programu, telezesha kidole juu kuanzia sehemu ya chini ya skrini yako, ushikilie, kisha uachilie." "Badilisha programu" "Telezesha kidole juu kutoka sehemu ya chini ya skrini yako, shikilia kisha uachilie" "Hongera!" "Kila kitu kiko tayari" "Nimemaliza" "Mipangilio" "Jaribu tena" "Safi!" "Mafunzo ya %1$d kati ya %2$d" "Tayari!" "Telezesha kidole juu ili uende kwenye skrini ya kwanza" "Gusa kitufe cha ukurasa wa mwanzo ili uende kwenye skrini ya kwanza" "Uko tayari kuanza kutumia %1$s" "Uko tayari kuanza kutumia kifaa chako" "Mipangilio ya usogezaji kwenye mfumo" "Shiriki" "Picha ya skrini" "Iliyogawanywa" "Hifadhi jozi ya programu" "Gusa programu nyingine ili utumie kipengele cha kugawa skrini" "Chagua programu nyingine ili utumie hali ya kugawa skrini" "Acha" "Ondoka kwenye hali ya skrini iliyogawanywa" "Chagua programu nyingine ili utumie hali ya kugawa skrini" "Kitendo hiki hakiruhusiwi na programu au shirika lako" "Wijeti hazitumiwi kwa sasa, tafadhali chagua programu nyingine" "Zungusha skrini" "Uhuishaji unaoonyesha jinsi upauzana huonekana kutokea sehemu ya chini ya skrini na kufichwa kiotomatiki wakati hautumiki" "Uhuishaji unaoonyesha jinsi ya kubandika upauzana wako kwa kutumia kipengele cha kuwasha/kuzima, ili upauzana uendelee kuonekana sehemu ya chini kabisa ya skrini" "Uhuishaji unaoonyesha jinsi ya kuweka skrini iliyogawanywa, kwa kuburuta na kudondosha programu kutoka kwenye upauzana ulio juu ya programu iliyofunguliwa" "Uhuishaji unaoonyesha jinsi ya kufikia programu zinazopendekezwa kwenye kifaa chako" "Uhuishaji unaoonyesha jinsi ya kutafuta bidhaa kwenye skrini, kwa kugusa na kushikilia kitufe cha vitendo kisha kuchagua eneo liliko bidhaa" "Elimu ya Upauzana" "Buruta programu pembeni ili utumie programu 2 kwa wakati mmoja" "Telezesha kidole juu taratibu ili ufungue Upauzana" "Pata mapendekezo ya programu kulingana na ratiba yako" "Bonyeza kwa muda mrefu kigawaji ili ubandike Upauzana" "Kamilisha mengi kwa kutumia Upauzana huu" "Onyesha Upauzana kila wakati" "Ili uonyeshe Upauzana kila wakati chini ya skrini yako, gusa na ushikilie kitenganishi" "Gusa na ushikilie kitufe cha vitendo ili utafute kilicho kwenye skrini yako" "Bidhaa hii hutumia sehemu uliyochagua kwenye skrini yako kutafuta. <a href="%1$s">Sera ya Faragha</a> na <a href="%2$s">Sheria na Masharti</a> ya Google yatatumika." "Funga" "Imemaliza" "Mwanzo" "Ufikivu" "Nyuma" "Kibadilishaji cha IME" "Vilivyotumika majuzi" "Arifa" "Mipangilio ya Haraka" "Upauzana" "Upauzana umeonyeshwa" "Upauzana na viputo vinaonyeshwa kushoto" "Upauzana na viputo vinaonyeshwa kulia" "Sehemu ya viungo muhimu" "Onyesha Zana kila wakati" "Badilisha hali ya usogezaji" "Kitenganishi cha Upauzana" "Sogeza juu/kushoto" "Sogeza chini/kulia" "Fungua programu kama kiputo" "Programu ulizofungua hivi majuzi" "Orodha ya programu ulizofungua hivi majuzi" "{count,plural, =1{programu nyingine}other{programu zingine}}" "Kompyuta ya Mezani" "%1$s na %2$s" "%1$s, kipengee cha %2$d kati ya %3$d" "Sogeza kushoto" "Sogeza kulia" "Kiputo" "Kiputo cha vipengee vya ziada" "%1$s kutoka %2$s" "%1$s na vingine %2$d" "Sogeza kushoto" "Sogeza kulia" "Ondoa vyote" "panua %1$s" "kunja %1$s" "Chora Mviringo ili Kutafuta" "Aikoni ya programu" "Kichwa cha programu" "Kitufe cha kufunga" "Bandika kwa upauzana" "Bandua kwa upauzana" "Dokezo" "Funga" "Picha ya dokezo"