<stringname="hotseat_edu_title_migrate"msgid="306578144424489980">"Pata mapendekezo ya programu kwenye sehemu ya chini ya Skrini yako ya kwanza"</string>
<stringname="hotseat_edu_title_migrate_landscape"msgid="3633942953997845243">"Pata mapendekezo ya programu katika safu ya vipendwa ya Skrini yako ya kwanza"</string>
<stringname="hotseat_edu_message_migrate"msgid="8927179260533775320">"Fikia kwa urahisi programu unazotumia sana moja kwa moja kwenye Skrini ya kwanza. Mapendekezo yatabadilika kulingana na ratiba zako. Programu zilizo kwenye sehemu ya chini zitahamishiwa kwenye Skrini yako ya kwanza."</string>
<stringname="hotseat_edu_message_migrate_landscape"msgid="4248943380443387697">"Fikia kwa urahisi programu unazotumia sana moja kwa moja kwenye Skrini ya kwanza. Mapendekezo yatabadilika kulingana na utumiaji wako. Programu zilizo katika safu ya vipendwa zitahamishiwa kwenye Skrini yako ya kwanza."</string>
<stringname="hotseat_edu_message_migrate_alt"msgid="3042360119039646356">"Fikia kwa urahisi programu unazotumia zaidi, moja kwa moja kwenye Skrini ya kwanza. Mapendekezo yatabadilika kulingana na ratiba zako. Programu zilizo kwenye safu ya chini zitahamishiwa kwenye folda mpya."</string>
<stringname="hotseat_edu_accept"msgid="1611544083278999837">"Pata mapendekezo ya programu"</string>
<stringname="hotseat_auto_enrolled"msgid="522100018967146807">"Programu zinazotumiwa zaidi huonekana hapa na hubadilika kulingana na ratiba"</string>
<stringname="hotseat_tip_no_empty_slots"msgid="1325212677738179185">"Buruta programu kutoka kwenye safu ya chini ili upate mapendekezo ya programu"</string>
<stringname="hotseat_tip_gaps_filled"msgid="3035673010274223538">"Mapendekezo ya programu yamewekwa kwenye nafasi isiyo na kitu"</string>
<stringname="hotsaet_tip_prediction_enabled"msgid="2233554377501347650">"Mapendekezo ya programu yamewashwa"</string>
<stringname="hotsaet_tip_prediction_disabled"msgid="1506426298884658491">"Umezima mapendekezo ya programu"</string>
<stringname="back_gesture_feedback_swipe_too_far_from_left_edge"msgid="340972404868601012">"Hakikisha unatelezesha kidole kuanzia ukingo wa mbali wa kushoto."</string>
<stringname="back_gesture_feedback_cancelled_left_edge"msgid="6671316150388702530">"Hakikisha unatelezesha kidole kuanzia ukingo wa kushoto kuelekea katikati ya skrini na uachilie."</string>
<stringname="back_gesture_feedback_complete_left_edge"msgid="3220478647881674266">"Ni hivyo tu! Sasa jaribu kutelezesha kidole kuanzia ukingo wa kuilia."</string>
<stringname="back_gesture_feedback_swipe_too_far_from_right_edge"msgid="4306700023773832353">"Hakikisha unatelezesha kidole kuanzia ukingo wa mbali wa kulia."</string>
<stringname="back_gesture_feedback_cancelled_right_edge"msgid="4951916546256902552">"Hakikisha unatelezesha kidole kuanzia ukingo wa kulia kuelekea katikati ya skrini na uachilie."</string>
<stringname="back_gesture_feedback_complete"msgid="7261221999760772210">"Umekamilisha ishara ya kurudi nyuma. Inayofuata, jifunze jinsi ya kwenda kwenye Skrini ya kwanza."</string>
<stringname="back_gesture_feedback_swipe_in_nav_bar"msgid="1148198467090405643">"Hakikisha hutelezeshi kidole karibu sana na sehemu ya chini ya skrini."</string>
<stringname="back_gesture_tutorial_confirm_subtitle"msgid="5181305411668713250">"Kubadilisha hisi ya ishara ya nyuma, nenda kwenye Mipangilio"</string>
<stringname="back_gesture_intro_title"msgid="19551256430224428">"Telezesha kidole ili urudi nyuma"</string>
<stringname="back_gesture_intro_subtitle"msgid="7912576483031802797">"Ili urudi kwenye skrini iliyotangulia, telezesha kidole kuanzia ukingo wa kushoto au wa kulia kuelekea katikati ya skrini."</string>
<stringname="home_gesture_feedback_swipe_too_far_from_edge"msgid="1446774096007065298">"Hakikisha unatelezesha kidole juu kuanzia ukingo wa chini wa skrini."</string>
<stringname="home_gesture_feedback_overview_detected"msgid="1557523944897393013">"Hakikisha kuwa husimamishi kabla ya kuachilia."</string>
<stringname="home_gesture_feedback_complete"msgid="2324789183070815517">"Umekamilisha ishara ya kwenda kwenye Skrini ya kwanza. Hatua inayofuata, jifunze jinsi ya kubadilisha programu."</string>
<stringname="home_gesture_intro_title"msgid="836590312858441830">"Telezesha kidole ili uende kwenye skrini ya kwanza"</string>
<stringname="home_gesture_intro_subtitle"msgid="2632238748497975326">"Telezesha kidole juu kuanzia chini ya skrini yako. Ishara hii kila wakati hukupeleka kwenye Skrini ya kwanza."</string>
<stringname="overview_gesture_feedback_swipe_too_far_from_edge"msgid="3032757898111577225">"Hakikisha unatelezesha kidole juu kuanzia ukingo wa chini wa skrini."</string>
<stringname="overview_gesture_feedback_home_detected"msgid="1411130969354020489">"Jaribu kushikilia dirisha kwa muda mrefu kabla ya kuachilia."</string>
<stringname="overview_gesture_feedback_complete"msgid="5477014491632199169">"Umekamilisha ishara ya kubadilisha programu. Uko tayari kutumia simu yako!"</string>
<stringname="overview_gesture_intro_title"msgid="2902054412868489378">"Telezesha kidole ili ubadilishe programu"</string>
<stringname="overview_gesture_intro_subtitle"msgid="1579517193845186042">"Telezesha kidole juu kuanzia sehemu ya chini ya skrini yako, ushikilie, kisha uachilie."</string>
<stringname="gesture_tutorial_confirm_title"msgid="6201516182040074092">"Kila kitu kiko tayari"</string>
<stringname="gesture_tutorial_step"msgid="1279786122817620968">"Mafunzo ya <xliff:gid="CURRENT">%1$d</xliff:g> kati ya <xliff:gid="TOTAL">%2$d</xliff:g>"</string>
<stringname="skip_tutorial_dialog_subtitle"msgid="544063326241955662">"Utapata mafunzo haya baadaye katika programu ya <xliff:gid="NAME">%1$s</xliff:g>"</string>